Back to home

Tume ya kuwaajiri walimu yaongoza zoezi la upanzi wa miti

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Tume ya kuajiri walimu TSC imezindua kampeni ya kutunza mazingira kupitia kampeni inayoitwa walimu na mazingira bora, tume hiyo imewataka walimu wote nchini kupanda na kutunza miti mitano kila mmoja.