Back to home

ODM yalalamikia zoezi la kusajili makurutu wa jeshi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
3h ago
Viongozi wa chama cha ODM wametoa tetesi kuhusu zoezi la kusajili makurutu wa jeshi wakidai zoezi hilo mara kwa mara limepuuza vijana kutoka nairobi.. Viongozi hao wanasema kaunti ya nairobi imekuwa ikupuuzwa na wakati umefika wa vijana wa kaunti ya nairobi kupewa kipaumbele.