Back to home

Wakulima wa Magarini kaunti ya Kilifi walalamikia makali ya ukame

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Baadhi ya wakulima katika eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wameitaka serikali ya kaunti hiyo pamoja na wahisani kuwasaidia ili waweze kuendeleza kilimo endelevu.