Back to home
Wakulima wahamasishwa kukumbatia kilimo cha kahawa Laikipia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Hapo awali, kaunti ya Laikipia imekuwa ikitegemea mifugo na mazao ya chakula kama mahindi na ngano. Kaunti hii iliyo na ukame wa wastani sasa inaanza kulima kahawa, ikilenga kufuata nyayo za maeneo jirani ya kaunti zilizoko mkoa wa kati,