Back to home

Wakulima washauriwa kukuza mboga za kienyeji Trans Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Wakulima wamehimizwa kuongeza uzalishaji wa mboga za kienyeji ili kunufaika na fursa kubwa ya kibiashara katika shule na taasisi mbalimbali. Mradi wa kilimo cha mboga za kienyeji unaoendelezwa na Idara ya Makavazi ya Kitaifa unalenga kuhamasisha jamii kuhusu thamani ya mboga hizi