Back to home

Serikali kusambaza vitambulisho milioni moja katika mwaka mmoja

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Kwenye ziara yake katika afisi za usajili hapa jijini Nairobi ambako mashine mpya zenye uwezo wa kuchapisha vitambulisho 16,000 kwa siku zilizinduliwa, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen alisema kuwa zaidi ya vitambulisho 400,000 vitapelekwa kwa machifu wa maeneo mbalimbali ili