Back to home
Rais Ruto azindua kwa mpango wa ruzuku wa nyota unaolenga kuwafaidi vijana
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Rais William Ruto ametangaza rasmi kuzinduliwa kwa mpango wa Ruzuku wa Nyota utakaowafaidi vijana 101,500 kutoka wadi 1,450 nchini. Aidha, rais amesema kwamba Kila kijana atapokea shilingi 50,000 za kuanzisha biashara huku serikali, kwa ushirikiano na Benki ya Dunia ikitenga juml