Back to home
Wakazi wa Kibiko waandamana mahakamani wakilalamikia kukamatwa kwa wenzao wawili
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Mamia ya wakazi wa Kibiko, Kaunti ya Kajiado, waliandamana na kufunga barabara nje ya mahakama ya Ngong wakipinga kukamatwa kwa watu wawili kufuatia mzozo unaoendelea wa ardhi.
Wawili hao walifikishwa mahakamani ambapo wanakabiliwa na mashtaka ya kuchoma gari na kusababisha tahar