Back to home
Juhudi za kuwarai Wakenya kujisajili zachacha
video
C
Citizen TV (Youtube)October 4, 2025
2h ago
Usajili wa wapiga kura ukishuhudia idadi ndogo ya wanaojitokeza kusajiliwa katika maeneo mengi nchini, juhudi za kuwarai wakenya na haswa vijana kujisajili zimeanza mashinani. Huko Nyeri, ambako ni wapiga kura 30 tu waliosajiliwa tangu zoezi hilo kuanza, kundi la vijana wameunga