Back to home

Maajenti wa kusafirisha Wakenya ughaibuni wakutana

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 6, 2025
2h ago
Kongamano la mawakala wa kusafirisha wakenya ughaibuni limekamilka huko Mombasa huku wakitoa wito kwa serikali na bunge la kitaifa kubuni sheria ya kukabiliana na walaghai katika sekta hiyo. Wakiongea katika siku ya mwisho ya kongamano hilo hapo jana mjini Mombasa mwenyekiti wa m