Back to home
Jamii ya Murule yamuidhinisha Ali Maalim Hassan kuwania ubunge Mandera Mashariki
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Jamii ya Murule katika kaunti ya Mandera imekubaliana kwa kauli moja kumuunga mkono Ali Maalim Hassan kugombea kiti cha eneo bunge la Mandera Mashariki katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.
Hii ni baada ya mikutano ya mashauriano na wagombea kiti wengine wa jamii hiyo ili kuepuk