Back to home
Tim Wanyonyi ashabikiwa kwa kuwakilisha walemavu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Kutangaza rasmi kwa Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi kwenye kinyang'anyiro cha ugavana wa kaunti ya Bungoma mwaka wa 2027 , sio tu kwa manufaa yake mwenyewe ila ni mfano wa kuigwa kwa baadhi ya walemavu .
Henry Opilo Mkazi wa Musikoma kwenye Eneo bunge la Kanduyi anasema kuwa wa