Back to home
Mimba za utotoni na maambukizi mapya ya HIV zatikisa Busia
video
K
KTN News (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Chama cha maseneta wanawake nchini kimekutana katika Kaunti ya Busia kuendeleza juhudi za kupunguza mimba za utotoni na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Hata hivyo, juhudi hizo zimeelezwa kukumbwa na changamoto kuu tatu: mimba za vijana, unyanyasaji wa kingono na kijinsia (SGBV)