Back to home
Chanjo ya ugonjwa wa miguu na mdomo ya mifugo yatolewa Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)October 7, 2025
2h ago
Idara ya Mifugo katika kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na benki ya Dunia hii leo inazindua Rasmi chanjo ya mifugo ya Miguu na Mdomo maarufu foot and mouth ambayo inalenga zaidi ya Ng'ombe millioni moja katika kila pembe ya Kaunti hiyo. Kwenye hafla hiyo ambayo inaandaliwa katik