Back to home
Mifugo wapewa chanjo ya kinywa na miguu kaunti ya Narok
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Wito umetolewa kwa jamii ya Wamaasai hasa wafugaji katika Kaunti ya Narok kupeleka ng’ombe wao kwa chanjo dhidi ya ungonjwa wa kinywa na miguu kwa mifugo.