Back to home

Wakulima Moiben kaunti ya Uasin Gishu wapewa mafunzo ya kilimo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
2h ago
Wakulima kutoka eneo la Moiben kaunti ya Uasin Gishu wamepewa mafunzo maalum ya kilimo biashara na umuhimu wa kutumia teknolojia ili wapate mazao maradufu. Mafunzo haya yalitolewa kwenye kongamano la wakulima lililoanza hapo jana