Back to home

Serikali ya Isiolo inataka vifaru kurudishwa katika hifadhi zake za wanyama

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 23, 2025
2h ago
Serikali ya Kaunti ya Isiolo imewasilisha ombi kwa serikali kuu ili kuruhusu kurudishwa kwa vifaru katika hifadhi zake za wanyama, miaka arobaini baada ya kuondolewa kutokana na kuongezeka kwa uwindaji haramu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and e