Back to home
Naibu Gavana akosoa kuchelewa kwa mgao wa elimu nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Naibu Gavana wa Machakos, Francis Mwangangi, amelaumu serikali kuu kwa kile anasema ni kuzorotesha sekta ya elimu. Akizungumza katika wadi ya Kalama, Mwangangi ameituhumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kuelekeza rasilimali zilizokusudiwa elimu kwenda kwenye masuala ya kisiasa. Aidh