Back to home

Jamii ya wasomali Taita Taveta yatoa wito wa ajira kutolewa kwa usawa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
1h ago
Jamii ya Wasomali kaunti ya Taita Taveta sasa inatoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuangazia usawa katika nafasi za ajira na maendeleo kwa ujumla.