Back to home
Wasomi wa jamii ya Wasabaoti wakutana Athi River
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Wasomi kutoka Jamii ya sabaot kutoka kaunti za Trans Nzoia na Bungoma walijumuika katika eneo la Athi River Kusherehekea Nyimbo na tamaduni za jamii hiyo huku wakitumia jukwaa hilo kuhuburi umoja wao.
Kwenye hafla hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na viongozi wa jamii hiyo, waliozungu