Back to home

Miaka Mitatu ya Ruto: Faida na mzigo wa afya ya jamii

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Mojawapo ya Ahadi kuu ya Rais William Ruto alipoingia mamlakani ilikuwa bima ya afya kwa kila Mkenya. Miaka mitatu baadaye, Mamlaka ya Afya ya Jamii SHA ndiyo inayoendesha ndoto hii, hata hivyo mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake, baadhi ya Wakenya wanasema imeleta afueni lakini k