Back to home
Miaka Mitatu ya Ruto: Panda shuka za SHA
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
3h ago
Gharama ya matibabu imekuwa mzigo mzito kwa wanaougua maradhi sugu nchini. Mwaka mmoja tangu bima ya sha kuanza kutumiwa, baadhi ya wagonjwa wanakiri kupunguziwa mzigo. Hata hivyo wanalalamikia hitilafu za mara kwa mara ambazo bado ni kikwazo kikubwa. Uhaba wa dawa na gharama ya