Back to home

Walimu wa shule 25 za sekondari msingi wapewa mafunzo Nanyuki

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
4h ago
Walimu 25 wa shule za sekondari msingi (JSS) kutoka kaunti tisa zilizoorodheshwa kuwa na visa vingi vya ndoa za mapema na ukeketaji wamepewa mafunzo maalum ili kuwa mabalozi wa kupinga mila na desturi zinazowanyima wasichana fursa ya kuendelea na masomo.Katika warsha iliyoandaliw