Back to home

Serikali yawawezesha vijana kupitia mradi wa Nyota nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
2h ago
Serikali kupitia ushirikiano na benki ya dunia inaazimia kuwaimarisha kiuchumi maelfu ya vijana kote nchini kupitia mradi wa nyota. Vijana wanaolengwa zaidi ni wale waliohitimu masomo ya sekondari ila hawana ajira.