Back to home
Familia za vijana wawili waliouawa kwenye mzozo wa shamba zalia Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 7, 2025
2h ago
Familia mbili katika eneo la Kimwani kaunti ya Nandi zimeitaka serikali kuhakikisha haki inatendeka baada ya wana wao kupoteza maisha kwa kupigwa risasi na polisi kwenye mzozo wa ardhi unaoendelea katika eneo hilo.