Back to home

Serikali yazindua maktaba ya kwanza ya walemavu Machakos

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
2d ago
Serikali imezindua awamu ya Kwanza ya mradi wa kihistoria wa maktaba katika Taasisi ya ufundi ya Wasioona ya Machakos (MTIB), ikiashiria hatua kuu kuelekea elimu-jumuishi kwa watu wenye ulemavu.