Back to home
Wadau wa utalii wakongamana Malindi kaunti ya Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 7, 2025
2h ago
Sekta ya utalii katika Pwani ya Kenya inaelekea kuimarika zaidi baada ya wadau katika sekta hiyo kuwaleta watalii na mawakala zaidi ya 500 kutoka mataifa 39 duniani.