Back to home

Wagonjwa wa saratani waitaka serikali kuongeza bima ya matibabu hadi shilingi milioni 1.2

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
3h ago
Wagonjwa wa saratani wameitaka serikali kuongeza fedha wanazotengewa katika bima ya SHA kutoka laki nne hadi milioni mojana laki mbili wakisema kuwa gharama ya matibabu ni juu mno. Baadhi ya wagonjwa hao ambao waliandamana jana jijini nairobi wanasema imewalazimu kuacha matibabu