Back to home
Mlinzi wa kiwanda cha kahawa cha Kibingei auawa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 9, 2025
2h ago
Mlinzi mmoja ameuawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni wasiojulikana katika kiwanda cha kahawa cha kibingei eneo bunge la kimilili ambao pia wanaaminiwa kuiba magunia takriban kumi na matano ya kahawa.