Back to home
Taasisi ya KISM yashirikiana na kituo cha huduma Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 9, 2025
3h ago
Wataalamu kwenye sekta ya ununuzi kutoka kaunti ya Garissa sasa watakuwa wakipokea huduma za haraka baada ya taasisi ya usimamizi wa vifaa KISM kushirikiana na kituo cha Huduma kufungua dawati kwenye kituo hicho ili kutoa huduma hizo