Back to home

Vijana wa shirika la huduma kwa vijana kujenga kumbi nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
3h ago
Serikali kupitia idara ya huduma kwa umma na vijana nchini nys imeanzisha mradi wa ujenzi wa kumbi za mikutano katika ofisi za idara hiyo kote nchini kwa lengo la kuwavutia wandalizi wa mikutano kufanyia hafla mbalimbali ndani ya kumbi hizo.