Back to home
Kakamega: Wanawake amabo hawakufanikiwa kupata mtoto/watoto kwenye ndoa wanataka serikali iwatambue
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 9, 2025
4h ago
Kundi moja la wanawake wakiwemo maajuza pamoja na wazee ambao wameoa ila hawakufanikiwa kupata mtoto/watoto kwenye ndoa zao limeitaka serikali kuhakikisha kuwa linawatambua na kuwaweka miongoni mwa watu wanaoishi na changamoto za ulemavu nchini
Subscribe to NTV Kenya channel