Back to home

Walemavu wanufaika katika mpango wa kupewa mtaji wa kuendeleza biashara zao

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Watu Wanaoishi na Ulemavu (PWDs) wamenufaika na mpango wa miaka sita wa kuwawezesha kupanua biashara zao, kuongeza akiba na kuboresha usimamizi wa fedha, uliofanyika katika kaunti saba zikiwemo Meru, Kakamega, Kiambu na Laikipia.