Back to home
Gavana wa Kwale Fatuma Achani afungua madarasa mapya
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani, amefungua rasmi madarasa matatu katika shule ya msingi ya CAFGEM Bareto, wadi ya Mackinnon road, Kinango.