Back to home

Wakaazi wa Runda waandamana huku wakikosoa Nema kwa kuwapa leseni watu kujenga maeneo ya umma

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Huku wakenya wakiendelea na upanzi wa miti siku hii ya mazingira, baadhi ya wakazi wa Runda hapa Nairobi walifanya maandamano wakikosoa Nema kwa kuwapa leseni wajenzi wa binafsi kujenga maeneo ya umma . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday