Back to home
Madarasa mabovu katika shule ya msingi ya Kerangi huko Mbeere
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
3h ago
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kerangi katika Wadi ya Kiambere, Mbeere Kusini, Embu, wanakabiliwa na hali ngumu ya masomo kutokana na ukosefu wa madarasa salama na ya kudumu.