Back to home

Miundomsingi duni yaathiri masomo katika shule ya msingi ya Mnengwa Taita Taveta

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Shule ya msingi ya Mnengwa, Mwatate Taita Taveta, imepata afueni ya maji safi baada ya miaka ya ukame . Hata hivyo, changamoto za miundomsingi duni, usalama na ustawi wa wanafunzi, hasa wa kike, bado zinawatatiza wakazi.