Back to home

Maabara ya sayansi inajengwa katika shule ya Mwanyambo kaunti ya Taita Taveta

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Hazina ya ustawishaji eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta itatumia jumla ya shilingi milioni 28 ili kufanikisha ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari msingi sehemu hiyo.