Back to home

Wafanyikazi wa NMG waitimisha wiki ya kusherehekea, Huduma Kwa Wateja, kwa kuvalia sare za spoti

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 10, 2025
2h ago
Wafanyikazi wa Kampuni ya Nation Media Group walihitimisha wiki ya kusherehekea, Huduma Kwa Wateja, kwa kuvalia sare za spoti kama njia moja ya kuwaenzi Wanamichezo na mashabiki wa spoti humu nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday a