Back to home

Rais Ruto akutana na Gideon Moi na wajumbe wa KANU

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Rais William ruto amefichua mazungumzo yake ya faragha na mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi, akisema alimtafuta Gideon ili amsaidie kuunganisha taifa na kuleta mabadiliko. Akizungumza nyumbani kwake Kabarak kaunti ya Nakuru, Gideon Moi kwa upande wake alisema alikubali wito