Back to home
Wasichana wengi waacha shule kwa sababu ya mimba za utotoni Tharaka
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
2h ago
Wanachama wa kundi la The Bold Women Initiative kutoka eneo la Tharaka wametoa tahadhari kuhusu ongezeko la visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi.