Back to home

Machifu na viongozi wa dini wafunzwa kutatua kesi Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
2h ago
Watu zaidi ya 40 wakiwemo machifu,viongozi wa kidini,wanaharakati katika maeneo mbalimbali kaunti ya Lamu wamepokea mafunzo ya kusuluhisha kesi kupitia mfumo wa upatanisho nje ya mahakama.