Back to home
Wazee kutoka jamii toafuti wapeleka ng'ombe na kukabidhi familia ya Raila
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 18, 2025
5h ago
Ngoma, nyimbo na vigelegele vya majonzi vilisika kijijini Opoda, ambapo ni maskani ya shamba ya Raila Amollo Odinga. Ni nyimbo za mapambano, ngoma za heshima na mambo mengine yanyoambatana na utamaduni wa kumkumbuka mtu mwenye hadhi katika jamii anapokata roho
Subscribe and wat