Back to home
Uchunguzi wabaini waliouawa Kasarani na Nyayo walipigwa risasi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
4h ago
Uchunguzi wa watu waliofariki uwanja wa Kasarani na ule wa nyayo wakati wa maombolezi ya marehemu waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, umethibitisha kuwa walifariki kwa mtutu wa bunduki. Risasi zilizopatikana kwenye miili ya Evans Kiche pamoja na Vincent Otieno Ogutu zimekabidhiwa