Back to home

Uchunguzi wa maiti waliouawawa katika uwanja wa Kasarani na Nyayo wadhibitisha waliuwawa kwa risasi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
13h ago
Upasuaji wa miili ya watu waliouawa katika uwanja wa Kasarani na Nyayo wakati wa maombolezi ya marehemu waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, umethibitisha kuwa walifariki kwa kupigwa risasi. Risasi zilizopatikana kwenye miili ya Evans Kiche pamoja na Vincent Otieno Ogutu zimekabid