Back to home

Mgogoro wa umiliki wa ardhi ya Kibiko latatiza usimamizi wa Ushirika cha 'Masaai Stock Farmers'

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
10h ago
Wanachama wa chama cha Ushirika Cha Maasai Stock Farmers wamekashifu vikali vitendo vinavyoendelea kuhusiana na mgogoro wa umiliki wa ardhi ya Kibiko, wakisema kuwa ardhi hiyo ni urithi wa mababu zao na si mali ya makundi mengine yanayodai umiliki wake.