Back to home

NCIC yamuita gavana Kahiga kujieleza zaidi kuhusu matamshi yake kuhusu kifo cha Raila

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
4h ago
Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa sasa inasema imeanzisha harakati za kumuita gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kujieleza kuhusiana na matamshi yake kuhusu kifo cha hayati Raila Odinga. NCIC ikikosoa matamshi ya gavana i ikimtaka aombe rambi. Haya yanajiri huku baraza la magav