Back to home
Msafara wa Jipange na Viusasa uingia siku ya pili Kaunti ya Meru, wakazi wajitokeza kwa wingi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 23, 2025
1w ago
Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia siku yake ya pili, ukizuru maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Meru. wakazi waliojitokeza kwa wingi kukutana na watangazaji wao wanaowapenda kutoka Muuga FM na Inooro FM





