Back to home

Msafara wa Jipange na Viusasa waingia siku ya 3

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
1w ago
Msafara wa Jipange na Viusasa umeingi siku ya tatu leo katika Kaunti ya Meru, ukipitia maeneo mbalimbali kuanzia Soko la Gakoromone hadi Mikinduri.