Back to home
Mahakama kuu Uganda yatupilia mbali kesi ya kutoweka kwa wanaharakati wa Kenya
video
C
Citizen TV (Youtube)October 23, 2025
22h ago
Mahakama kuu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa ikitaka asasi za usalama kuwawasilisha wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo waliotoweka Kampala. Katika uamuzi wake, jaji Simon Peter alisema aliridhishwa na maelezo ya maafisa wa usalama kuwa hawajui waliko




